Ijumaa 26 Juni 2026 - 07:20
Matembezi ya Amani ya Kumuenzi Imam Hussein (as) Yafanyika Jijini Dar es Salaam + Picha

Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia jijini Dar es Salaam wamefanya matembezi ya amani kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saww), katika mwezi mtukufu wa Muharram.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Matembezi hayo yalifanyika jana tarehe 25 Juni 2026 na yaliandaliwa na JAMAT Khoja, huku yakihusisha idadi kubwa ya waumini walioshiriki kwa utulivu na nidhamu huku wakionesha mshikamano, umoja na mapenzi kwa Ahlul-Bayt (as).

Matembezi ya Amani ya Kumuenzi Imam Hussein (as) Yafanyika Jijini Dar es Salaam + Picha Matembezi ya Amani ya Kumuenzi Imam Hussein (as) Yafanyika Jijini Dar es Salaam + Picha Matembezi ya Amani ya Kumuenzi Imam Hussein (as) Yafanyika Jijini Dar es Salaam + Picha

Maoni yako

You are replying to: .
captcha