Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Matembezi hayo yaliambatana na usomaji wa qasida na nauha za maombolezo, pamoja na ujumbe uliosisitiza amani, umoja na uadilifu. Washiriki walibeba mabango yenye kaulimbiu mbalimbali zilizoakisi mapenzi kwa Ahlul-Bayt (as) na dhamira ya kuendeleza ujumbe wa Ashura katika jamii.
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |










Maoni yako