![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia mkoani Mbeya wamekusanyika katika Kikao cha Maombolezo ya Siku ya Ashura 1448 H/2026 kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa kishahidi Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saww), pamoja na mashahidi wenzake wa Karbala.









Maoni yako