Jumamosi 27 Juni 2026 - 16:40
Matembezi ya Amani ya Ashura Yafanyika Kibaha - Pwani, Waumini Wahuisha Kumbukumbu ya Imam Hussein (as) + Picha

Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia katika mji wa Kibaha, mkoani Pwani, wamefanya Matembezi ya Amani katika Siku ya Ashura 1448 H/2026, kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi kwa Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saww), katika ardhi ya Karbala.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Matembezi hayo yaliwahusisha mamia ya waumini waliokuwa wamevalia mavazi meusi ya maombolezo huku wakibeba mabango yenye ujumbe wa amani, uadilifu na kupinga dhuluma. Washiriki walisisitiza kuwa ujumbe wa Imam Hussein (as) unaendelea kuwa chanzo cha msukumo katika kusimamia haki, kupigania utu wa binadamu na kusimama dhidi ya dhuluma katika kila zama.

Aidha, viongozi wa dini walieleza kuwa maadhimisho ya Ashura si tukio la maombolezo pekee, bali ni fursa ya kujifunza maadili ya kujitolea, subira, uadilifu na kujenga jamii yenye mshikamano na amani.

Matembezi ya Amani ya Ashura Yafanyika Kibaha - Pwani, Waumini Wahuisha Kumbukumbu ya Imam Hussein (as) + Picha Matembezi ya Amani ya Ashura Yafanyika Kibaha - Pwani, Waumini Wahuisha Kumbukumbu ya Imam Hussein (as) + Picha Matembezi ya Amani ya Ashura Yafanyika Kibaha - Pwani, Waumini Wahuisha Kumbukumbu ya Imam Hussein (as) + Picha Matembezi ya Amani ya Ashura Yafanyika Kibaha - Pwani, Waumini Wahuisha Kumbukumbu ya Imam Hussein (as) + Picha

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha