imam khamenei (9)
-
Hukumu za Kisheria:
DiniKile kilichosalia katika wosia wa mali ya maiti
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi amejibu swali la kifiqhi kuhusu "kile kilichosalia katika wosia wa mali ya maiti."
-
HawzaUjumbe wa mfalme wa Saudi Arabia wawasilishwa kwa kiongozi mkuu wa Mapinduzi ya kiislamu
Waziri wa ulinzi wa Saudi Arabia, alasiri ya leo, katika mazungumzo yake na kiongozi mkuu wa mapinduzi ya kiislamu, aliwasilisha ujumbe wa mfalme wa nchi hiyo kwa Hadhrat Ayatullah Khamenei.
-
Kiongozi wa Mapinduzi katika kikao na makamanda waandamizi wa jeshi la ulinzi:
HawzaAdui amechanganyikiwa na kuwa na hasira kwa sababu ya maendeleo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Kiongozi mkuu wa mapinduzi ya kiislamu, leo adhuhuri, katika kikao na kundi la makamanda na maafisa wa jeshi la ulinzi kwa mnasaba wa mwaka mpya, amelitaja jeshi la ulinzi kuwa ni ngao ya nchi…
-
DuniaMfumo wa Tawala iliyopo kwa niaba ya Marekani
Kuna nguvu moja tu iliyopo kwa niaba katika Dunia hii, na hiyo ni utawala haram wa Kizayuni
-
DiniNi wakati gani kiongozi wa mapinduzi ya Iran anaenda kufanya ziara katika Msikiti wa Jamkaran?
Wakati njia zote zinapofungwa, Kiongozi wa Mapinduzi huenda wapi? Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah anasimulia kuwa: Katika nyakati ngumu mno, sehem peke ya kiiimani kwa Kiongozi huyo ni Jamkaran,…
-
Kiongozi wa mapinduzi katika mkutano wake na pamoja maafisa wa serikali na mabalozi wa nchi za kiislamu alisisitiza kuwa:
DuniaUmoja katika ulimwengu wa kiislamu ndiyo njia pekee ya kusimama dhidi ya uonevu unaofanywa na dola kubwa
Kwa mujibu wa shirika la habari la Hawza, kiongozi mkuu wa mapinduzi ya kiislamu, asubuhi ya leo hii, alipokutana na maafisa wa serikali, pamoja mabalozi wa nchi za kiislamu na wakiwepo na baadhi…
-
Kiongozi wa Mapinduzi katika hotuba ya swala ya Eid:
DuniaIkiwa Marekani na utawala wa Kizayuni watafanya uovu, hakika watapokea pigo kali/ kama wanataka kuzusha fitna ndani ya nchi, jibu kali litafuata
Hawza: Swala ya Eid al-Fitr leo asubuhi imeswaliwa kwa hali ya kipekee na kwa hamasa kubwa katika maeneo yote ya nchi, ambapo waumini wa Kiislamu walikusanyika kwa wingi kuadhimisha siku hii…
-
Kiongozi wa Mapinduzi katika ujumbe wa televisheni alisisitiza kuwa:
DuniaMatembezi ya mwaka huu ni miongoni mwa matembezi bora zaidi, yaliyo na heshima na utukufu zaidi kuliko matembezi mengine yaliyowahi kufanyika katika Siku ya Quds
Hawaza: Kiongozi wa Mapinduzi ya kiislamu, Hadhrat Ayatollah Khamenei, alisisitiza katika ujumbe wake wa televisheni usiku huu kuwa, matembezi ya mwaka huu ya Siku ya Quds ni muhimu zaidi kuliko…
-
DuniaAyatullah Khamenei: Ikiwa Marekani itafanya ukhabithi dhidi ya taifa la Iran, itazabwa kofi kali
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameionya Marekani dhidi ya kutumia lugha ya vitisho dhidi ya Iran.