Jumatatu 12 Oktoba 2026 - 19:00
Ofisi ya Ayatullah Sistani Yatangaza Jumanne Kuwa Siku ya Kwanza ya Mwezi wa Jumadal-Ula

Hawza/ Ofisi ya Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Sistani imetangaza kupitia taarifa rasmi kwamba kesho Jumanne itakuwa siku ya kwanza ya mwezi wa Jumadal-Ula, mwaka 1448 Hijria Qamaria.

Kwa mujibu wa Idara ya tarjama ya Shirika la Habari la Hawza, ofisi ya Marjaa Mkuu wa kidini, Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Sistani, iliyoko Najaf al-Ashraf, imetangaza kwamba leo Jumatatu itakuwa siku ya 30 na ya mwisho ya mwezi wa Rabiul-Thani, huku Jumanne, tarehe 13 Oktoba 2026 (21 Mehr 1405), ikiwa siku ya kwanza ya mwezi wa Jumadal-Ula, mwaka 1448 Hijria Qamaria.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha