Hawza/ Ofisi ya Ayatullah Sistani mjini Najaf Ashraf imetangaza kwamba lo ni siku ya mwisho ya mwezi wa Rabi‘ al-Thani, na kesho Ijumaa itakuwa mwanzo wa mwezi wa Jumada al-Ula.