Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli alifanikiwa kufika katika makazi ya Ayatollah al-Udhma Sistani katika mji mtukufu wa Najaf, na kukutana na yeye kwa ajili ya kufanya mazungumzo naye.
Kufuatia kifo cha Papa Francis, kiongozi wa kanisa katoliki wa duniani, ofisi ya Hadhrqt Ayatollah Sistani imetoa ujumbe wa rambirambi.