Jumamosi 18 Julai 2026 - 16:50
Hadithi ya Leo | Jinsi Amirul-Muuminin Ali (as) Anavyoipenda Shahada

Hawza/ Amirul-Muuminin Imam Ali (as), katika riwaya moja, amesisitiza kuwa yuko juu ya haki na kuelezea mapenzi yake ya kina juu ya shahada.

Shirika la Habari la Hawza limechapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu "Sharh Nahjul Balaghah":

Amirul-Muuminin Ali (as) amesema:

«فَوَاللَّهِ إِنِّی لَعَلَی الْحَقِّ، وَإِنِّی لِلشَّهَادَةِ لَمُحِبٌّ.»

"Naapa kwa Mwenyezi Mungu, hakika mimi niko juu ya haki, na bila shaka mimi ni mwenye kuipenda shahada."

Chanzo: Sharh Nahjul Balaghah, Juzuu ya 6, uk. 100.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha