Hawzah/ Ikiwa mtu atatambua thamani na hadhi ya juu ya utu wake, kamwe – na kwa hali yoyote ile – hatakubali kudhalilika wala kuwa mtumwa wa yeyote asiyekuwa Mungu.
Hawza / Wakati dunia ikionekana kuwa duni na isiyo na thamani kwa mtazamo wa mwanadamu, macho yake hugeuka kuielekea Akhera, na huenda hapo ndipo mwanzo wa utumwa kwa Mwenyezi Mungu unaanzia.
Hawza/ Amirul-Mu’minin Ali (a.s.) katika Nahjul-Balagha anautambulisha uchamungu (taqwa) kama silaha yenye nguvu inayomdhoofisha shetani na vishawishi vyake, anasema kuwa taqwa si tu ngome madhubuti…
Hawza / Mtu anapofanya dhambi, hana budi kutumia neema zilezile ambazo Mwenyezi Mungu amempa ili amuabudu yeye; na hiki ni kitendo cha wazi cha kutokuwa na shukrani.