Jumatatu 17 Februari 2025 - 10:58
Kuwa hivi wakati wa hasira, wa kuridhia na kuwa na nguvu

Muumini anapokasirika, hasira yake haimuondoi katika haki.

Shirika la Habari la Hawza - Imamu Ali bin Mussa al-Ridha (a.s) amesema:

«اَلْمُؤمِنُ اِذا غَضِبَ لَمْ يُخْرِجْهُ غَضَبُهُ عَنْ حَقٍّ، وَ اِذا رَضِىَ لَمْ يُدْخِلْهُ رِضاهُ فى باطِلٍ، وَ اِذا قَدَرَ لَمْ يَأْخُذْ اَكْثَرَ مِنْ حَقِّهِ.»

"Muumini anapokasirika, hasira yake haimuondoi katika haki, na anaporidhia (jambo na akawa na furaha) ridhaa yake haimpeleki kwenye batili, na anapopata madaraka (nguvu), hachukui zaidi ya haki yake."

Bihar al-Anwar, Jz 75, uk 355

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha