Kiongozi mkuu wa mapinduzi ya kiislamu, leo adhuhuri, katika kikao na kundi la makamanda na maafisa wa jeshi la ulinzi kwa mnasaba wa mwaka mpya, amelitaja jeshi la ulinzi kuwa ni ngao ya nchi…