Islamophobia (6)
-
DuniaSerikali ya Ufaransa Yaendelea Kuchochea Moto wa Chuki Dhidi ya Uislamu
Hawzah/ Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufaransa, katika kipindi cha miezi mitano ya kwanza ya mwaka 2025, kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la matukio ya chuki dhidi…
-
DuniaWaislamu wa Uingereza hawajihisi kuwa na amani!
Hawzah/ Kwa Waislamu wengi, wakiwemo Waislamu wa Uingereza, tukio la kulipuliwa mabomu tarehe 7 Julai mwaka 2005 linawakumbusha kumbukumbu za majonzi makubwa, na hadi leo linazidi kuwachochea…
-
DuniaKituo cha Utafiti cha Uingereza chaitaka harakati ya kitaifa ya kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu
Hawza/ Ripoti mpya kutoka kituo cha utafiti cha "ICO" nchini Uingereza iliyochapishwa siku ya Jumatatu, imetoa wito kwa serikali ya Uingereza kuandaa sera ya kitaifa iliyoratibiwa kwa ajili ya…
-
DuniaKwa kuuawa Muislamu mwingine nchini Ufaransa, nchi hiyo imeingia katika duru mpya ya mauaji dhidi ya Waislamu
Hawzah/ Kwa mujibu wa Wizara ya Ujasusi wa Kitaifa ya Ufaransa, uhalifu dhidi ya Waislamu katika robo ya kwanza ya mwaka huu umeongezeka kwa asilimia 72 ikilinganishwa na robo ya kwanza ya mwaka…
-
DuniaUfunguzi wa Kituo cha Kwanza Maalumu kwa Ajili ya Kupambana na chuki dhidi ya Uislamu "Islamophobia" Nchini Uturuki
Hawza/ Kituo cha kwanza maalumu cha kupambana na chuki dhidi ya Uislamu "Islamophobia", kwa kuzingatia mihimili minne mikuu ambayo ni: uangalizi na uthibitishaji wa kumbukumbu, msaada wa kisheria…
-
DuniaChuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia), kwa Mtindo wa Ufaransa; Muislamu auwawa ndani ya Msikiti nchini Ufaransa
Siku ya Ijumaa, mtu mmoja ambaye unafahamika, aliingia ndani ya msikiti katika kijiji cha Land Kamp kilichoko kusini mwa Ufaransa, huku akiwa na kisu na akamuua mwislamu aliyekuwa akiswali.