Shirika la Habari la Hawza, linanukuu riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu Al-Amali.
Imam Swa'diq (a.s.) amesema:
«مَنْ رَأَی أَخَاهُ عَلَی أَمْرٍ يَكْرَهُهُ فَلَمْ يَرُدَّهُ عَنْهُ وَ هُوَ يَقْدِرُ عَلَيْهِ فَقَدْ خَانَهُ وَ مَنْ لَمْ يَجْتَنِبْ مُصَادَقَةَ اَلْأَحْمَقِ أَوْشَكَ أَنْ يَتَخَلَّقَ بِأَخْلاَقِهِ»
“Yeyote anayemwona ndugu yake akifanya jambo lisilofaa, kisha asimzuie nalo ilhali ana uwezo wa kufanya hivyo, basi hakika amemsaliti. Na yeyote asiyejiepusha kusuhubiana na mpumbavu, yu karibu kujipamba kwa tabia zake.”
Kitabu: Al-Amali cha Sheikh Sadu'q, uk. [343].
Maoni yako