Jumanne 28 Aprili 2026 - 16:00
Ayatullah A‘rafi afanya ziara kwa Ayatullah al-‘Udhma Subhani

Hawza/ Mkuu wa hawza za kielimu za nchi Iran, alikutana na kufanya mazungumzo na Ayatullah al-‘Udhma Subhani.

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Hawza, Ayatullah Alireza A‘rafi, mkuu wa hawza za kielimu za nchi Iram, alikutana na kufanya mazungumzo na Ayatullah al-‘Udhma Subhani, miongoni mwa Maraji‘ wakubwa wa taqlid.

Mwanzoni mwa mkutano huu, Ayatullah A‘rafi aliwasilisha ripoti kuhusu mipango, hatua za mageuzi na hali ya hawza, pamoja na ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi mikubwa ya tablighi.

Aidha, Ayatollah Subhani, baada ya kusikiliza ripoti ya mkuu wa hawza za kielimu, alitoa miongozo na nasaha mbalimbali.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha