Ayatollah al-Udhma Subhani (5)
-
Ayatullah al-Udhma Subhani:
HawzaVitabu vya masomo ya Hawza viwe vinaendana na mahitaji ya zama hizi
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Subhani amesema: “Kwa muda wa miaka hamsini hadi sitini sasa tumefikia hitimisho kwamba ndani ya Hawza za kielimu, vitabu vya masomo vinapaswa kuwa vinaendana na mahitaji…
-
Ayatullah al-Udhma Subḥānī katika ufunguzi wa mwaka wa masomo wa Hawza:
Hawza“Kumpenda Mtume siyo bid‘a, bali ni miongoni mwa misingi ya Uislamu / Wanafunzi wa dini wanapaswa kufanya hijra (kuhama kwa ajili ya kutafuta elimu)
Hawza/ Ayatullah Subḥānī alibainisha: Ikiwa mtu ataishi kwa kuifuata Qur’ani na Sheri‘a, lakini moyoni mwake akawa na chuki dhidi ya Mtume (s.a.w), basi mtu huyo ni kafiri. Na hata asipokuwa…
-
Ayatollahul - udhma Subhanii:
HawzaKuifedhehesha Jamhuri ya Kiislamu ya Irani pamoja na Kiongozi muadhamu wa Mapinduzi ni alama ya udhaifu wa adui
Hawza/ Hadhrat Ayatollah Subh'ani, katika kuelezea vitisho vya Tramp dhidi ya Kiongozi wa mapinduzi Sayyid Ali Khamenei amesema: Aina yeyote ya Kuifedhehesha Jamhuri ya Kiislamu ya Irani pamoja…
-
HawzaAyatollah al-Udhma Subhani amtembelea Ayatollah al-Udhma Nuri Hamedani kwa ajili ya kumjulia hali yake
Ayatollah al-Udhma Subhani alifika katika makaazi ya Ayatollah al-Udhma Nuri Hamedani na kumtembelea Marja’ huyu wa taqlid kwa ajili ya kumjulia hali yame.
-
Ayatollah al-Udhma Subhani:
HawzaMarehemu Ayatollah al-Udhma Ha’iri alikuwa mfano wa wazi wa "العالم بزمانه" (mwanazuoni katika zama zake), Hawza ya Qom ni muendelezo wa kihistoria wa Hawza ya Madina, Kufa na Khorasan
Mwanachuoni mkubwa katika ulimwengu ya Kishia, sambamba na kuelezea mchakato wa kihistoria wa kuundwa kwa Hawza za fiqhi na hadithi kutoka Madina tukufu hadi Qom, alisema: Marehemu Ayatollah…