Jumanne 13 Mei 2025 - 13:27
Ayatollah al-Udhma Subhani amtembelea Ayatollah al-Udhma Nuri Hamedani kwa ajili ya kumjulia hali yake

Ayatollah al-Udhma Subhani alifika katika makaazi ya Ayatollah al-Udhma Nuri Hamedani na kumtembelea Marja’ huyu wa taqlid kwa ajili ya kumjulia hali yame.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Ayatollah al-Udhma Subhani alifika katika makazi ya Ayatollah al-Udhma Nuri Hamedani na kumtembelea Marja’ huyu wa taqlid ambaye kwa sasa anajisikia nafuu baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha