Kwamujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Hadhrat Ayatullah Subhaani katika kuvielezea vitisho vya Tramp dhidi ya Kiongozi wa mapinduzi Sayyid Ali Khamenei ametoa maelezo ambayo matini ya maelezo hayo ni kama ifuatavyo:
بسم الله الرحمن الرحيم
بسم الله قاصم الجبارين
Katika sharti hizi ngumu ambazo zipo wazi kwa watu wote, kwa maulama wa kiislamu na viongozi wa dini ulimwenguni kote, ni wadhifa wetu sote tutoe ujumbe wa pamoja, aina hii ya upetukaji mipaka makafiri katika ulimwengu wa kiislamu tuukanushe, na sote tupaze sauti kwa pamoja kutaka kusitishwa kwa tabia hii, kama waislamu watafanya hivyo itakuwa na athari.
Mwisho wa ujumbe wake, alikemea kila aina ya udhalilishaji wa mfumo wa Jamhuri ya kiislamu na kiongozi wa mapinduzi, na kusema kwamba hii ni dalili ya kushindwa kwa adui.
Mwenyezimungu aupe nguvu uislamu na waislamu
Qum, Jaafar Subhaani
Maoni yako