Kwa mujibu wa huduma ya kimataifa ya Shirika la Habari la Hawza, Hafla ya kuiheshimu Shahada aliyo ipata Imaam Sayyed Ali Khamenei Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Irani, imefanywa na Hawza ya Najafu katika Haram ya Imaam Ali (as).
Katika hafla hii walihudhuria wanazuoni mbalimbali, miongoni mwao ni, Hujjatul-islam Sayyed Muhamad Ridhwa na Sayyed Muhamad Baaqir Sistan, na Sayyed Ahmad Swa'fi, na Sheikh Abdul Mahdi Alkarbalai mwakalishi wa Ayatullah Sayyid Sistani, pamoja na Maulama wengine tofauti.





Maoni yako