Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Hawza, Hujjatul-Islam Sayyid Ehsan Musavi, Kaimu wa Masuala ya Kiutamaduni na Kijamii Kituo cha Kushughulikia Masuala ya Misikiti alisema:
“Mwaka huu pia, kama ilivyokuwa katika miaka iliyopita, misikiti ya jiji la Tehran itasimamisha mahema yatakayo toa huduma katika ‘Sherehe ya Kilometa 10 ya Sikukuu ya Ghadir.’”

Hawza/ Naibu wa Masuala ya Kiutamaduni na Kijamii wa Kituo cha Kushughulikia Masuala ya Misikiti ametangaza kuhusu kutolewa kwa wito wa usajili wa misikiti ya Tehran (mji mkuu wa Iran) kwa ajili ya kuandaa hema (Maukib) kwa ajili ya “Sherehe ya Km 10 ya Ghadir.”
Maoni yako