Ghadir (7)
-
Ayatollah al-Udhma Makarim Shirazi:
HawzaAya ya Tabligh ndiyo ushahidi wa wazi zaidi wa Qur’ani kuhusu Uimamu
Hawza/ Ayatollah Makarim Shirazi amesema kuwa: Aya ya 67 haiwezi kueleweka ila kwa tafsiri ya wilaya, na ndiyo ushahidi wa wazi zaidi wa Qur’ani kuhusu Uimamu na uongozi wa Mtume Mtukufu (saww).
-
DuniaMwanazuoni wa Kihindi: Ghadir ni mchoro wa ramani ya mwongozo wa Umma wa Kiislamu
Hawza/ Hujjatul-Islam Ali Haidar Fereshta, katika mahojiano na mwandishi wa habari wa Hawza, amesema kuwa Ghadir ni zaidi ya tangazo la urithi wa uongozi; ni mfano kamili wa mfumo wa uongozi…
-
Ayatollah Ramadhani:
HawzaGhadir ni tafsiri halisi ya demokrasia ya kidini
Hawza/ Mwakilishi wa watu wa Gilan katika Baraza la Wataalamu wa Uongozi (Majlisi Khubragan Rahbari), Ayatollah Reza Ramadhani, amesisitiza juu ya umuhimu wa tukio la Ghadir na kusema kuwa "Ghadir…
-
DiniJe, Ushia ulikuwepo kabla ya Amirul-Mu’minin (as) au baada yake?
Hawza/ Kwa mujibu wa maandiko, Ushia kama mfumo wa kielimu na kifikra uliwekewa msingi sambamba na kushuka kwa Qur'ani Tukufu na kwa kupitia Mtume wa Uislamu (saw) mwenyewe. Cha kuvutia ni kwamba,…
-
HawzaUigizaji wa Tukio la Ghadir kufanyika katika maeneo 149 nchini Iran
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Khudadode ametangaza kuhusiana na mipango mbalimbali ya kiutamaduni, kijamii na mchakato mzima wa siku kumi za Wilaya za Sikukuu ya Ghadir, huku akisisitiza…
-
DuniaHaramu Tukufu ya Alawi yatangaza ratiba yake ya awamu ya kumi na nne ya wiki ya kimataifa ya Ghadir
Hawza/ Haramu tukufu ya Alawi imetoa maelezo kamili kuhudiana na kuanza shughuli za kila mwaka za wiki ya kimataifa ya Ghadir.
-
DuniaMisikiti ya Tehrani yaitisha “Tafrija ya Kilometa 10 ya Ghadir”
Hawza/ Naibu wa Masuala ya Kiutamaduni na Kijamii wa Kituo cha Kushughulikia Masuala ya Misikiti ametangaza kuhusu kutolewa kwa wito wa usajili wa misikiti ya Tehran (mji mkuu wa Iran) kwa ajili…