Shirika la Habari la Hawza - Imamu Swadiq (a.s):
«اِتَّقُوا اللّهَ، وَعَلَيْكُمْ بِأَداءِ الأَمانَةِ إِلى مَنِ ائْتَمَنَكُمْ فَلَوْ أَنَّ قاتِلَ أَميرِالْمُؤْمِنينَ عليهالسلام ائْتَمَنَنى عَلى أَمانَةٍ لأَدَّيْتُها إِلَيْهِ.»
Mcheni Mwenyezi Mungu na rudisheni amana kwa yule aliyekuaminini, kwani kwa hakika hata muuaji wa Amirul-Mu'minina (Imamu Ali) kama atanikabidhi amana, bila shaka nitamrejeshea.
Aamali Sheikh Swaduq, uk 318
Maoni yako