Jumatano 4 Juni 2025 - 18:12
Daima kuwa mtu huru

Usiwe mtumwa wa mwingine, ilihali Mwenyezi Mungu amekuumba ukiwa huru.

Hawzah News Agency - Imamu Ali (a.s) amesema:

«لاَ تَكُنْ عَبْدَ غَيْرِكَ وَ قَدْ جَعَلَكَ اَللَّهُ حُرّاً.»

"Usiwe mtumwa wa mwingine, ilihali Mwenyezi Mungu amekuumba ukiwa huru."

Bihar al-Anwar, Jz 74, uk 217

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha