Hawza/ Sayyid Abdulmalik Badruddin al-Houthi, ametoa pongezi kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na ushindi wake katika vita vilivyoanzishwa kwa kulazimishwa na utawala dhalimu wa Kizayuni,…
Hawza/ Vyombo vya habari vya Israeli vimeripoti juu ya ongezeko kubwa la bei za vyakula katika miji iliyokaliwa kimabavu, huku wachumi wakithibitisha jambo hili.