Sayyid Sajid Ali Naqvi (8)
-
Mwenyekiti wa Baraza la Maulamaa wa Kishia wa Pakistan:
DuniaLugha ya matusi ya mabeberu dhidi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu italeta majibu makali
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika taarifa aliyoitoa, amelaani vikali matamshi ya matusi ya Rais wa Marekani kumhusu Ayatollah Khamenei, alisisitiza nafasi adhimu…
-
Raisi wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan:
DuniaImam Hussein (as) ni kielelezo cha uhuru na haki; maombolezo ni haki ya raia na urithi wa muqawama
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa kuwadia kwa mwezi mtukufu wa Muharram al-Haram, amesisitiza kuwa uendeshaji wa maombolezo…
-
Pendekezo la Mwenyekiti wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan kuhusu Siku ya Kimataifa ya Wazazi:
DuniaDunia haisikii sauti ya wazazi waliopoteza watoto wao huko Ghaza
Hawza/ Hujjat al-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Wazazi, amependekeza siku hii ipewe jina la wazazi wa watoto walio dhulumiwa…
-
DuniaRais wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan: Israeli ni utawala wa kimabavu, usio halali na ni tishio kwa amani ya dunia
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kwenye mnasaba wa Siku ya Nakba (15 Mei), amelieleza utawala wa Kizayuni kuwa ni utawala wa kunyang’anya kwa nguvu…
-
Raisi wa Baraza la Maulamaa wa kishia Pakistan:
DuniaNafasi ya vyombo vya habari katika kuonesha uhalifu unao fanywa na Israel ni ya kupongezwa
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, Raisi wa Baraza la Maulamaa wa kishia nchini Pakistan, katika ujumbe wake ulioandikwa kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mnasaba wa Kimataifa…
-
Rais wa Shura ya Wanazuoni wa Kishia Pakistan:
DuniaUtata katika mwenendo wa Marekani ndio chanzo cha vita sehemu mbali mbali
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika taarifa kuhusu mazungumzo yake kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani, amesisitiza kuwa: Mazungumzo haya yanaweza tu kuzaa…
-
Raisi wa Shura ya Ulama wa kishia Pakistan:
DuniaEid al-Fitr ni kielelezo cha umoja na mshikamano kwa umma wa kiislamu
Hujjatul Islam wal Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kwa mnasaba wa Eid al-Fitr, ameeleza kuwa siku hii siyo tu alama ya furaha na shangwe, bali pia ni fursa ya kudhihirisha…
-
Rais wa Shura ya maulama wa kishi’a Pakistan:
DuniaKelele za Uhuru wa Quds nchini Pakistan ni umoja wa taifa katika kuunga mkono Palestina
Hujat al-Islam walmuslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika tamko lake, alisisitiza umuhimu wa siku ya Quds na aliwaomba watu wa Pakistan kushiriki kwa wingi Ijumaa ya mwisho ya mwezi wa Ramadhani…