Hizbullah (106)
-
Vikosi vya Hizbullah Iraq:
DuniaKukombolewa pwani ya magharibi ya Yemen ni kofi kubwa kwa miradi ya Kizayuni na Marekani
Hawzah/ Vikosi vya Hizbullah Iraq, vimeelezea kuwa ushindi wa kimkakati wa Vikosi vya Wanajeshi na watu huru wa Yemen katika mapambano ya kuwasafisha wavamizi katika maeneo ya pwani ya magharibi…
-
Hizbullah:
DuniaMisimamo Rasmi ya Hizbullah Hutolewa Kupitia Katibu Mkuu na Taarifa Rasmi
Hawza/ Idara ya Mahusiano ya Vyombo vya Habari ya Hizbullah imetangaza kwamba: Kauli yoyote isiyo rasmi inapaswa kuchukuliwa kuwa ni maoni binafsi; misimamo yetu hutangazwa tu kupitia Katibu…
-
Sheikh Ahmad Qabalan:
DuniaKusini Mwa Lebanon ni Nguzo Muhimu Zaidi ya Muundo wa Mfumo wa Utawala;Serikali Isiyoilinda Imeiuza Nchi
Hawza/ Sheikh Ahmad Qabalan, Mufti Mashuhuri wa Jaafari, akimuelekea Rais wa Lebanon amesema: “Uwezekano wa mgawanyiko wa ndani umefikia kiwango cha juu kabisa, na wewe una wajibu wa kuzuia kusambarat…
-
Mjumbe wa Baraza Kuu la Hizbullah:
DuniaImam Musa Sadr Alikuwa Mlinganiaji wa Haki na Umoja; Sisi Bado Tupo Juu ya Ahadi Ile Ile
Hawzah/ Sheikh Hassan al-Baghdadi, mjumbe wa Baraza Kuu la Hizbullah, amesema katika maadhimisho ya kutekwa kwa Imam Musa Sadr na wenzake kwamba katika kumbukumbu hii, ni lazima tufanye upya…
-
DuniaHizbullah Yaadhimisha Maulid ya Mtume Mtukufu (s.a.w.w.) kwa kufanya Mkutano wa Umoja wa Wanazuoni mjini Sidon
Hawza/ Hizbullah imeendesha katika Jengo la Mtukufu Sayyid al-Shuhadaa (as), lililopo katika eneo la Haret Sidon, hafla kwa mnasaba wa Maulid ya Mtume wa Rehema, chini ya kaulimbiu “Umoja wa…
-
Mjumbe wa Hizbullah Lebanon:
DuniaBila Umoja wa Kiislamu, Umma Hauna Nguvu ya Kukabiliana na Uvamizi na Ubeberu
Hawzah/ Hujaatul-Islam Sayyid Ali Fahs, akichambua uzoefu wa Umoja wa Kiislamu, alisema: “Wazo lililoasisiwa na Imam Khomeini (q.s.) halikuwa wito wa kinadharia tu wa kuwaleta Waislamu karibu…
-
Sheikh Naim Qassem:
DuniaMuqawama Unaelekea Kwenye Chaguo Zake, Na Yeyote Anayetegemea Kujisalimisha Ameegemea Kwenye Sarabi (Mazigazi)
Hawza/ Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem, katika maadhimisho ya miaka 20 ya ushindi katika Vita vya Siku 33, huku akisisitiza kwamba Muqawama una uwezo wa kubadilisha mlingano wa nguvu,…
-
Mjumbe wa Hizbullah:
DuniaMuqawama utaendelea kuwa kisu katika kifua cha kila dhalimu na mvamizi
Hawzah/ Hujjatul-Islam Sayyid Shukr amesisitiza kwamba; Muqawama utaendelea kuwa kisu katika kifua cha kila dhalimu na mvamizi; wale walioikomboa Kusini wanaweza kuikomboa tena.
-
Sheikh Ali Al-Khatib:
DuniaWanataka kuuangamiza Muqawama; kujisalimisha kwetu kutatupeleka kwenye maangamizi
Hawzah/ Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia nchini Lebanon amesisitiza kwamba; wanachotaka kwetu ni kujisalimisha, na akaeleza kuwa kuna njama ya ndani na ya kimataifa inayolenga…
-
Mufti wa Sur na Jabal Amil:
DuniaTunaendelea kutenda kwa mujibu wa fikra na njia ya Imam Musa Sadr ili Lebanon iendelee kubaki kuwa taifa la mwisho kwa watoto wake wote
Hawza/ Harakati ya Amal ya Lebanon kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam Hussein (as) na siku ya tatu ya shahada ya Hussein Yasin Ibrahim, iliandaa hafla kubwa katika Husseiniyya ya mji wa Toulin.
-
Sheikh Al-Juaid:
DuniaMaridhiano kati ya Syria na Hizbullah ni hatua yenye baraka katika njia ya umoja wa Umma wa Kiislamu
Hawza/ Mratibu Mkuu wa Mhimili wa Harakati ya Kiislamu nchini Lebanon, huku akirejea Aya Tukufu isemayo: «وَاعْتَصِمُوا بِحَبْلِ اللَّهِ جَمِيعًا وَلَا تَفَرَّقُوا», ameashiria dalili za kukaribiana…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu:
DuniaKuwatetea Wapiganaji Jihadi wa Lebanon ni Sera ya Kimkakati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika kujibu barua ya Katibu Mkuu na wapiganaji wa Hizbullah, amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa kuzingatia msimamo wa Kiongozi Mkuu na…
-
Hizbullah:
DuniaMsimamo Wetu katika Masuala Yote ni Mmoja na Thabiti; Yaliyoripotiwa na Baadhi ya Vyombo vya Habari Si ya Kweli
Hawza/ Msimamo wetu katika masuala yote ni mmoja na thabiti, na habari zinazosambazwa na baadhi ya vyombo vya habari si za kweli.
-
DuniaHizbullah Yatoa Wito wa Kushiriki Mikusanyiko ya Wananchi Sambamba na Hafla ya Mazishi ya Imam Khamenei
Hawza/ Kwa mnasaba wa shahada ya Imam wa Wanyonge, Imam Shahidi Sayyid Ali Husseini Khamenei, Hizbullah imetoa wito wa kushiriki katika mikusanyiko ya wananchi nchini Lebanon na katika ngazi…
-
DuniaHizbullah Yawapinga Wanaounga Mkono Uhuru wa Lebanon Kupitia Makubaliano ya Maridhiano na Israel
Hawza/ Baada ya kupita siku kadhaa tangu kutangazwa kwa makubaliano ya maridhiano kati ya serikali ya Lebanon na Israel, makundi mbalimbali ya kijamii na vyama vya kisiasa vya Lebanon yameeleza…
-
Ihab Hamadeh:
DuniaMuqawama Utaendelea Kukabiliana na Adui, na Israel Inaelewa Lugha ya Nguvu Pekee
Hawza/ Mwanachama wa Kambi ya “Uaminifu kwa Muqawama” amesisitiza kwamba; silaha ya Muqawama, ambayo imekuwa kiwakilishi cha uwepo wetu, imethibitisha ufanisi wake katika kukabiliana na adui…
-
Mwanachama wa Kambi ya Muqawama:
DuniaIsrael Imethibitisha Mara Nyingi Kutoheshimu Makubaliano na Sheria za Kimataifa
Hawza/ Ali Ammar amesisitiza kwamba; mashambulizi ya hivi karibuni ya Israel dhidi ya Lebanon na juhudi zake za kusonga mbele kuelekea eneo la “Ali al-Tahir” yanafanyika katika mfumo wa sera…
-
Mjumbe wa Kambi ya “Maendeleo na Uhuru” ya Lebanon:
DuniaKatika Dunia Inayojinasibu kwa Haki na Haki za Binadamu, Uhalifu wa Israel Haupaswi Kufichwa
Hawza/ Qasim Hashim amesema kuwa kuendelea kwa uchokozi wa Israel huku ulimwengu ukinyamaza kunathibitisha tabia ya kiuchokozi ya utawala huo.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah Lebanon:
DuniaMpango wa Kuuangamiza Muqawama na Hizbullah Umeshindwa
Hawza/ Sheikh Naim Qassim, Katibu Mkuu wa Hizbullah, amesema kuwa; kulikuwa na mpango wa kuiangamiza Hizbullah na Muqawama katika eneo la Mashariki ya Kati, lakini mpango huo umeshindwa.
-
DuniaHafla za Maombolezo ya Imam Hussein (as) Zafanyika Kusini mwa Beirut
Hawza/ Kwa mnasaba wa kuadhimisha kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein (as), Hizbullah imeandaa na kuendesha majlisi za maombolezo ya mwezi wa Muharram katika maeneo mbalimbali ya kusini mwa…
-
Mwanazuoni wa Kisunni wa Lebanon:
DuniaChaguo la Muqawama Limechaguliwa Kwa Msingi wa Kushikamana na Qur’ani Tukufu
Hawza/ Sheikh Ahmad Al-Qattan amesisitiza wa kusema: “Muqawama nchini Lebanon ni uhai wetu, na adui Muisraeli, licha ya kuendelea na mashambulizi yake, ameshindwa kufikia malengo yake.”
-
DuniaWananchi wa Baalbek Wakusanyika kwa Ajili ya Kuonesha Shukrani Zao na Uaminifu kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Hawza/ Mji wa Baalbek ulishuhudia mkusanyiko mkubwa wa mshikamano; hatua iliyofanyika kama ishara ya shukrani na uaminifu kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa ushiriki mkubwa wa wananchi wanaouunga…
-
Sheikh Ahmad Qabalan:
DuniaHatuitoi Lebanon kwa Wazayuni na Mawakala Wao
Hawza/ Mufti Mkuu wa Ja'faria na mwanazuoni mashuhuri wa Lebanon amesema: Kinachotokea leo kinaiweka mamlaka ya Lebanon mikononi mwa wale walioigeuza kuwa mtaji wa kisiasa na zawadi ya kiusalama…
-
DuniaJumuiya ya Maulamaa wa Beirut Yapongeza Msimamo wa Dhati wa Iran katika Kuisaidia Lebanon
Hawza/ Jumuiya ya Maulamaa wa Beirut imesisitiza kwamba; haiwezekani kuachana na muqawama ambao uliikomboa ardhi na kumzuia adui; Muqawama upo na utaendelea kuwepo maadamu hakuna mbadala unaoweza…
-
Sheikh al-Khatib:
DuniaTaarifa ya mazungumzo ya Washington inafungua milango ya fitna ambayo adui ananuia kuizalisha
Hawza/ Makamu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia nchini Lebanon amesema: Kukubali kwa serekali ya Lebanon kupitia wanadiplomasia wake maudhui ya taarifa ya Washington na kukubali…
-
Hizbullah:
DuniaJinai inayofanywa na adui dhidi ya jeshi la taifa imekuwa ni matokeo ya kawaida na ya kupuuzwa kwa mamlaka ya nchi
Hawza / Hizbullah katika taarifa yake imesema: Shambulio la kijinai na la woga ambalo adui Mzayuni amelifanya dhidi ya jeshi letu la taifa ni jinai ya kweli na ya makusudi.
-
DuniaMkusanyiko wa Wanazuoni wa Jabal Amil umesisitiza kushikamana na uchaguzi wa kusimama imara, Muqawama na kuimarisha umoja wa Lebanon
Hawza/ Mkusanyiko wa Wanazuoni wa Jabal Amil nchini Lebanon katika ujumbe wake kwa mnasaba wa “Eidul Ghadir” umesisitiza kwamba; Lebanon chini ya mwendelezo wa mashambulizi na vitisho vya Israel,…
-
DuniaSheikh Qabalan amwambia Aoun: Kama kusingekuwa na Muqawama, adui Muisraeli angefika hadi Ikulu ya Rais
Hawza / Mwanazuoni mashuhuri wa Lebanon, katika ujumbe wake kwa Rais wa Lebanon, amesema: Yeyote anayehimiza Muqawama kujiondoa kusini mwa mto huku wakati huohuo asidai kuondoka kwa jeshi la…
-
Hizbullah ya Lebanon:
DuniaAyatullah al-Udhma Fayyadh alikuwa nguzo ya Marjaiyya na mtumishi wa Uislamu
Hawza/ Hizbullah ya Lebanon imetoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Ayatullah al-Udhma Sheikh Is'haq Fayyadh na kusisitiza kwamba; alikuwa miongoni mwa nguzo za Marjaiyya ya kidini ndani…
-
Sheikh Naim Qasim:
DuniaTunajivunia kwamba tulimfanya Imam Khomeini kuwa mfano wa maisha yetu na tukaunga mkono uthabiti na haki
Hawza/ Sheikh Naim Qasim, Katibu Mkuu wa Hizbullah, katika taarifa iliyotolewa kufuatia kumbukumbu ya mwaka wa kufariki kwa Imam Khomeini, alisisitiza kwamba; Mapinduzi ya Iran yalianza kutoka…