Arobaini ya Imam Hussein (13)
-
DuniaWaumini wa Mombasa Kenya Waadhimisha Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (as)
Hawza/ Uongozi wa AhlulBayt Assembly of Kenya umeungana na waumini katika eneo la Kisauni, Kaunti ya Mombasa, kushiriki katika maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (as), katika matembezi maalumu…
-
DuniaImamu wa Swala ya Ijumaa Baghdad Atahadharisha Juu ya Juhudi za Marekani za Kudhoofisha Umoja wa Vikosi vya Ulinzi vya Iraq
Hawzah/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousavi ameitaja ziara ya Arubaini kuwa ni “ngao ya kiroho” dhidi ya hali ya kukata tamaa inayoukabili Umma, na kwa kurejelea uwepo wa mamilioni ya mazuwari, amesema…
-
DuniaKongamano la Wahubiri wa Afrika Lafanyika Karbala; Watoa Mada Wahimiza Umoja, Kuieneza Dini na Kuwatetea Wanaodhulumiwa
Hawza/ Katika mwendelezo wa shughuli za maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (as), Jumuiya ya Aimmat Huda't imefanya Kongamano la Wahubiri wa Afrika mjini Karbala, likiwakutanisha wahubiri…
-
Ayatullah Jawadi Amuli
DuniaArubaini ni zao la ujumbe wa milele wa Bibi Zaynab (as)/ Uhai na maendeleo ya kielimu ndiyo njia pekee ya kujibu shubha
Hawza/ Ayatullah Jawadi Amuli amesisitiza kuwa: Harakati ya Arubaini ni zao la ule ujumbe wa milele uliotolewa na Bibi Zaynab Kubra (as) aliposema: “Sisi hatutanyamazishwa kamwe.”
-
Sheikh Adel Al-Shaala:
DuniaKuweka sharti la kupata kibali cha serikali ya Bahrain ili kuwazuru Maimamu (as) ni miongoni mwa makatazo makubwa kabisa
Hawza/ Sheikh Adel Al-Shaala, mwanazuoni wa Kishia wa Bahrain, amesisitiza kwamba; ibada ya kuwazuru Maimamu Maasumina (as) si kama hukumu nyingine za kisheria, bali ni miongoni mwa alama na…
-
Chombo cha Habari cha Usalama cha Iraq:
DuniaZaidi ya mazuwari milioni 3 wameingia Iraq hadi sasa kwa ajili ya Arubaini
Hawza/ Mkuu wa Kamati ya Habari ya Usalama ya Iraq ametangaza kuwa idadi ya mazuwari walioingia Iraq kupitia mipaka mbalimbali kwa ajili ya kuhuisha ziara ya Arubaini ya Imam Hussein (as) imevuka…
-
Ayatullah Saiidi katika Swala ya Ijumaa mjini Qom:
DuniaUstahimilivu ni somo kubwa la Arubaini katika zama zetu za leo
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa wa Qom amesema: Arubaini ina mafunzo makubwa, na miongoni mwa mafunzo hayo ni ustahimilivu. Imam Hussein (as) kupitia harakati yake alibainisha kwamba; kipimo…
-
DuniaMafunzo 6 ya Kistaarabu ya Arubaini katika Tamko la Kimkakati la Ayatullah A'raafi/ Uhusiano wa Damu ya Imam Hussein (as) na Damu ya Shahidi Khamenei Ufikishiwe Walimwengu
Mkurugenzi wa Hawza za Elimu ya Dini, akieleza masomo ya kistaarabu ya Arubaini, amewapa jukumu wanafunzi wa hawza na wahubiri kwamba katika mawakibu, njiani na katika fursa mbalimbali za ulinganiaji,…
-
DuniaChuo Kikuu cha Al-Zahra mjini Karbala chawa mwenyeji wa Kongamano la Tano la Kimataifa la “Ulingano wa al-Aqsa”
Hawza/ Chuo Kikuu cha Al-Zahra mjini Karbala kilikuwa mwenyeji wa Kongamano la Tano la Kimataifa la “Nidaa al-Aqsa”, lililohudhuriwa na wajumbe na shakhsia kutoka nchi mbalimbali.
-
DuniaAyatullah A'rafi atembelea nyumba ya Marehemu Ayatullah al-Udhma Fayyadh
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, akiendelea na ziara yake nchini Iraq, alitembelea nyumba ya Marehemu Ayatullah al-Udhma Sheikh Is'haq Fayyadh, mmoja wa Marajii Wakuu wa Taqlidi nchini…
-
Katika Kongamano la “Ulingano wa al-Aqsa” mjini Karbala:
DuniaAyatullah A'rafi asisitiza kuwa, Iran itaendelea kuiunga mkono Palestina
Hawza/ Ayatullah A'rafi katika hotuba yake kwenye kikao cha ufunguzi wa Kongamano la Tano la Kimataifa la “Nidaa al-Aqsa” lililofanyika Karbala, alisisitiza kuendelea kwa uungaji mkono wa Jamhuri…
-
DuniaMkutano Mkuu wa Kamati ya Arubaini ya Hawza na Masheikh, pamoja na Viongozi wa Kikabila wa Mkoa wa Al-Muthanna Wafanyika/ Yasisitizwa Umoja na Mshikamano wa Umma wa Kiislamu
Hawza/ Mkuu wa Kamati ya Arubaini ya Hawza za Kielimu amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la masheikh pamoja na viongozi wa makabila wa Mkoa wa Al-Muthanna.
-
DuniaHaram Tukufu ya Alawi yatangaza mpango wake wa kitabibu, kiafya na huduma zake kwa ajili ya kuwahudumia mazuwari wa Arubaini
Hawza/ Kituo cha Tiba cha "Rasul al-A'dham (saww)" kilicho chini ya Haram Tukufu ya Alawi kimetangaza kukamilisha maandalizi maalumu ya kitabibu na kiafya kwa ajili ya ziara ya Arubaini ya Imam…