Hawza/ Sayyid Abdulmalik Badruddin al-Houthi, ametoa pongezi kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na ushindi wake katika vita vilivyoanzishwa kwa kulazimishwa na utawala dhalimu wa Kizayuni,…
Hawza/ Ansarullah Yemen imetoa salamu za pongezi kwa Katibu Mkuu wa Hizbullah, muqawama wa Kiislamu wa Lebanon, na wananchi wa nchi hiyo, kwa mnasaba wa siku ya mapambano na ukombozi wa kusini…