Ijumaa 20 Juni 2025 - 08:36
Tunatumai ya kwamba, kiongozi muadhamu wa mapinduzi ambae ni nguzo iliyo imara atahifadhiwa na Mwenyezimungu

Hawza/ Hadhrat Ayatollah Udhma Javad Amoli, katika ujumbe wake ameiombea dua nchi ya Irani, watu wote, wasomi, viongozi wa kijeshi, wanasiasa pamoja na kiongozi wa mapinduzi ya Irani, na kusema kwamba wawe katika hifadha ya Mwenyezimungu

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Matini ya ujumbe wa Hadhrat Ayatollah Javad Amoli ni kama ifuatavyo:

بسم الله الرحمن الرحيم

Kutenza nguvu na muhuri wa nidhamu vipo kwenye khiyari ya Mwenyezimungu

Mfumo wa ulimwengu upo kwenye kumtenza nguvu dhalimu
Ni matumaini yetu Jamhuri ya kiislamu ya Irani, watu wote, wasomi, viongozi wa jeshi, wanasiasa wabobevu, pamoja na kiongozi wa mapinduzi ambae ni nembo ya kujitawala na nguzo iliyo thabiti, wawe katika hifadha ya Mwenyezimungu.

Javadi Amoli

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha