Hawza/ Hadhrat Ayatollah Udhma Javad Amoli, katika ujumbe wake ameiombea dua nchi ya Irani, watu wote, wasomi, viongozi wa kijeshi, wanasiasa pamoja na kiongozi wa mapinduzi ya Irani, na kusema…
Ayatollah Jawadi Amoli alisema: "Kamwe katika elimu na maarifa usiangalie watu walio chini yako, bali angalia wale walio juu yako."