Shirika la Habari la Hawza limeripoti kuwa, shura ya Ulamaa wa Kishia na Shirika la wanafunzi wa Jafariya Nchini Pakistan waliongoza maandamano makubwa baada ya Swala ya Ijumaa, yaliyolenga kupinga uvamizi haramu wa Qibla cha kwanza cha waislamu (Qudsi), uliofanywa na utawala wa Kizayuni.

Shura ya Ulamaa wa Kishia na Shirika la wanafunzi wa Jafariya Islamabad Pakistan waliongoza maandamano makubwa baada ya Swala ya Ijumaa, yakilenga kupinga uvamizi haramu wa Qibla cha kwanza cha waislamu (Qudsi), uliofanywa na utawala wa Kizayuni.
Maoni yako