Siku ya Ijumaa, mtu mmoja ambaye unafahamika, aliingia ndani ya msikiti katika kijiji cha Land Kamp kilichoko kusini mwa Ufaransa, huku akiwa na kisu na akamuua mwislamu aliyekuwa akiswali.