Jumatano 28 Oktoba 2026 - 07:15
Kuyaweka Mambo Muhimu Katika Vipaumbele

Hawza/ Amirul Muuminina, Imam Ali (a.s.), katika riwaya moja, anaeleza umuhimu wa kuisimamia fikra na kuelekeza umakini katika mambo yaliyo muhimu.

Shirika la Habari la Hawza, linachapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu cha Ghurar al-Hikam.

Imam Ali (a.s.) amesema:

«إِنَّ رَأْیَکَ لَا یَتَّسِعُ لِکُلِّ شَیْءٍ، فَفَرِّغْهُ لِلْمُهِمِّ.»

“Hakika, fikra zako haziwezi kuchukua kila kitu; kwa hiyo, zielekeze katika mambo muhimu.”

Rejea: Ghurar al-Hikam, Juzuu ya 2, uk. 606.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha