Shirika la Habari la Hawza, limechapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu cha Man La Yahdhuruhul-Faqih.
Mtume Muhammad (s.a.w.w) amesema:
«مَنْ سَعَی لِمَرِیضٍ فِی حَاجَةٍ قَضَاهَا أَوْ لَمْ یَقْضِهَا خَرَجَ مِنْ ذُنُوبِهِ کَیَوْمٍ وَلَدَتْهُ أُمُّهُ.»
“Mtu yeyote atakayejitahidi kutimiza haja ya mgonjwa, aweze kuitimiza haja hiyo au asiweze, atasafishwa kutokana na dhambi zake kama siku ile ambayo mama yake alimzaa.”
Rejea: Man La Yahdhuruhul-Faqih, Juzuu ya 4, Ukurasa wa 16.
Maoni yako