Jumapili 4 Oktoba 2026 - 07:04
Madhara Yatokanayo na Kuwaudhi Wazazi Wawili

Hawza/ Mtume wa Mwenyezi Mungu (saww), katika riwaya, anaonya kuhusiana na madhara yanayotokana na kuwaudhi baba na mama, pamoja na nafasi ya kutowatii wazazi hao.

Shirika la Habari la Hawza, linachapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu Mustadrak al-Wasa’il.

Mtume wa Mwenyezi Mungu (saww) amesema:

«مَنْ آذَی وَالِدَیْهِ فَقَدْ آذَانِی، وَمَنْ آذَانِی فَقَدْ آذَی اللَّهَ، وَمَنْ آذَی اللَّهَ فَهُوَ مَلْعُونٌ.»

“Mtu yeyote anayewaudhi wazazi wake, basi ameniumiza mimi; na mtu yeyote mwenye kuniudhi mimi, basi amemuudhi Mwenyezi Mungu; na mwenye kumuudhi Mwenyezi Mungu, basi amelaaniwa.”

Mustadrak al-Wasa’il, Juzuu ya 15, uk. 193.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha