Shirika la Habari la Hawza, limechapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu Mizan al-Hikmah:
Imam Musa al-Kadhim (as) amesema:
«إِذَا وَعَدْتُمُ الصِّغَارَ فَأَوْفُوا لَهُمْ؛ فَإِنَّهُمْ یَرَوْنَ أَنَّکُمُ الَّذِینَ تَرْزُقُونَهُمْ، وَإِنَّ اللَّهَ لَا یَغْضَبُ بِشَیْءٍ کَغَضَبِهِ لِلنِّسَاءِ وَالصِّبْیَانِ.»
“Mnapowaahidi watoto jambo fulani, basi timizeni ahadi hiyo kwao; kwa sababu wao wanaona kwamba nyinyi ndio mnaowaruzuku. Na Mwenyezi Mungu hakasiriki kwa jambo lolote kama anavyokasirika kwa sababu ya wanawake na watoto.”
Chanzo: Mizan al-Hikmah, Juzuu ya 13, ukurasa wa 252.
Maoni yako