Jumatano 2 Septemba 2026 - 11:28
Hadithi ya Leo | Jawabu Bora Zaidi Mbele ya Mjinga

Hawza/ Amirul-Muuminina Ali (as), katika riwaya moja, anaeleza kuhusu thamani ya kunyamaza mbele ya maneno ya watu wajinga.

Shirika la Habari la Hawza, limechapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu “Ghurar al-Hikam”.

Imam Ali (as):

««السُّکُوتُ عَلَی الْأَحْمَقِ أَفْضَلُ جَوَابِهِ.»»

“Kunyamaza mbele ya mjinga ndiyo jibu bora zaidi kwake.”

Ghurar al-Hikam, Hadithi ya 1160

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha