Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Ayatullah Muhsen Araki, mjumbe wa Baraza Kuu la Hawza nchi Iran, na mjumbe wa Baraza la Wataalamu wa Uongozi, kufuatia ujumbe wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu uliotolewa kwa mnasaba wa tukio la kihistoria la mazishi na kuzikwa Kiongozi Shahidi Mkuu wa Umma, ameuelezea ujumbe huo kuwa ni tangazo la kuanza kwa kipindi kipya na kuyafanya Mapinduzi ya Kiislamu kuwa ya kimataifa. Aidha, amewataka vijana mashujaa wa dunia nzima, kwa lengo la kutekeleza hukumu ya Mwenyezi Mungu na kulipiza kisasi kwa damu ya Shahidi Mkuu na mashahidi wote waliodhulumiwa, kutumia kila aina ya juhudi na hatua dhidi ya wahalifu kama Trump, Netanyahu na washirika wao wote katika uhalifu wa kimataifa.
Mwalimu wa masomo ya kiwango cha juu (Dars al-Kharij) katika Hawza ya Elimu ya Kiislamu ya Qum amesisitiza kwamba; ujumbe wa Kiongozi Mtukufu na mpendwa kuhusu kulipiza kisasi kwa damu ya Kiongozi Shahidi na mashahidi wapendwa ni amri ambayo ni “wajibu kuitii”, na kwamba ni “wajibu” kwa wote wanaoweza kuchukua hatua yoyote katika kuufanikisha utekelezaji wake, kuchukua hatua zinazohitajika haraka.
Ayatullah Araki amesisitiza kwamba: Trump na Netanyahu wako juu ya orodha hiyo, na kwamba makamanda wote wa kijeshi na kisiasa wanaoshirikiana na wahalifu hao wawili, bali pia askari wote pamoja na vikosi vyao vya kijeshi na vifaa vyao vya ugavi ambao wamehusika na kushiriki katika uhalifu wao huko Ghaza, Ukingo wa Magharibi, Lebanon, Yemen, Iraq na Iran, wanajumuishwa katika hukumu hii ya Kiwilaya ambayo ni lazima itekelezwe.
Ifuatayo ni matini kamili ya ujumbe na wito wa Ayatullah Araki wa kulipiza kisasi kwa damu ya Kiongozi Shahidi dhidi ya Trump, Netanyahu, washirika wao na wahalifu wengine:
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu
Mwamko mkubwa wa watu katika ulimwengu wa waliodhulumiwa baada ya kuuawa kishahidi Kiongozi Mkuu na Shahidi Mkuu wa Uislamu, Ayatullah al-Udhma Imam Khamenei (ra), ambao ulidhihirika kupitia uwepo endelevu wa taifa kubwa la Iran katika viwanja na mitaa, na baadaye katika mazishi yasiyo na mfano ya mwili mtukufu wa mpendwa huyu pamoja na mashahidi wa familia yake, uliodhihirisha kwa kiwango cha juu kabisa uaminifu, ustahimilivu katika njia ya Uislamu na utiifu kwa ahadi waliyoitoa kwa Mwenyezi Mungu, Mtume Wake na Maimamu Watoharifu (as), ni mwanzo wa kipindi kipya cha Mapinduzi Makubwa ya Kiislamu.

Ninapenda kutoa shukrani zangu kwa taifa aminifu la Iran na wananchi wenye shukrani wa Iraq ambao walitoa mchango mkubwa katika uwepo huu mkubwa, na ninatangaza kwamba ujumbe wa hivi karibuni wa Kiongozi Mtukufu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mujtaba Husseini Khamenei, kwa hakika ni tangazo la kuanza kwa kipindi kipya cha Mapinduzi ya Kiislamu na mageuzi yake kuwa mapinduzi ya kimataifa na yenye wigo mpana. Ni lazima, sambamba na kutangaza utiifu na kufuatilia malengo yake, ifahamike kwamba kulipiza kisasi kwa damu ya Shahidi Mkuu, Kiongozi Mkuu na mashahidi waliokuwa pamoja naye si kulipiza kisasi kwa damu yao pekee, bali ni kulipiza kisasi kwa damu ya mashahidi wote waliodhulumiwa ambao, hasa katika karne ya hivi karibuni, imemwagiwa damu yao na Shetani Mkuu, yaani Marekani ya kibeberu, pamoja na mashetani wanaoshirikiana nayo; na hivi karibuni uhalifu huo umefikia kilele chake chini ya uongozi wa mashetani wawili wenye ukatili, yaani Trump na mnyama mla watu Netanyahu.
Ujumbe wa Kiongozi Mtukufu na mpendwa ni amri ambayo ni wajibu kuitii, na ni wajibu kwa kila anayeweza kuchukua hatua yoyote katika kufanikisha utekelezaji wake, kuchukua hatua zinazohitajika bila ya kuchelewa.
Trump na Netanyahu wako juu ya orodha hiyo, na makamanda wote wa kijeshi na kisiasa wanaoshirikiana na wahalifu hao wawili, bali pia askari wote pamoja na vikosi vyao vya kijeshi na vifaa vyao vya ugavi ambao wamehusika na kushiriki katika uhalifu wao huko Ghaza, Ukingo wa Magharibi, Lebanon, Yemen, Iraq na Iran, wanajumuishwa katika hukumu hii ya Kiwilaya ambayo ni lazima itekelezwe.
Natumaini vijana mashujaa kote duniani watajifunga kibwebwe na kujiunga na harakati hii kubwa, na kwamba katika kutekeleza hukumu ya Mwenyezi Mungu dhidi ya wahalifu hawa, hawatasita kufanya juhudi wala hatua yoyote. Mwenyezi Mungu Mtukufu amesema:
إِنَّا مِنَ الْمُجْرِمِينَ مُنْتَقِمُونَ
Na rehema na amani za Mwenyezi Mungu zimshukie Muhammad na Ahlul-Bayt wake watoharifu.
Na amani iwashukie waja wote wema wa Mwenyezi Mungu.
Mohsen Araki
Maoni yako