Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Mtukufu Ayatullah Nouri Hamadani katika kuijibu kamati ya Jumuiya ya wawakilishi wa wanafunzi wa hawza ya Qum, kutokana na wadhifa wa Waislamu juu ya jinai zinazofanywa na Wazayuni kuwaelekea Mar'aji' na Kiongozi wa umma wa Kiislamu amesisitiza kuwa:
Kwa jina la Mola Mtukufu.
Ni wajibu kwa Waislamu wote kulipiza kisasi kutokana na damu ya shahidi Kiongozi wa Mapinduzi ya Iran
والسلام عليكم
10 Isfand 1404/ 1 March 2026
Hussein Nouri Hamadani
Maoni yako