Ayatullah Al-Udhma Nouri Hamadani (9)
-
Ayatullah Mkuu Nouri Hamedani:
DuniaMaombolezo ya Hussein yasifanywe chini ya uvumi wa programu yoyote/ Asisitiza kumuenzi kiongozi shahidi katika hafla zote
Hawza/ Ayatullah Nouri Hamedani amesisitiza kuwa: Hakuna programu wala tukio lolote linalopaswa kuyafanya maombolezo ya Bwana wa Mashahidi (as) yaonekane kuwa ya pembeni au kupoteza nafasi yake…
-
DuniaAyatullah al-Udhma Nouri Hamadani atoa salamu za rambirambi kuielekea Hawza ya Najaf
Hawza/ Ayatullah al-Udhma Nouri Hamedani ametuma salamu za rambirambi kufuatia kufariki kwa Ayatullah al-Udhma Fayyadh (ra), mmoja wa Maraji' wakubwa wa taqlid wa Najaf.
-
Ayatullah Al-Udhma Nouri-Hamadani:
DuniaKuwahudumia wananchi na kutatua matatizo ni wajibu muhimu zaidi wa viongozi
Hawza/ Hadhrat Ayatullah Nouri-Hamadani amesisitiza kuwa; leo hii, kazi muhimu zaidi ya viongozi wa mfumo wa Kiislamu ni kuwahudumia wananchi na kufanya juhudi za kutatua matatizo yaliyopo.
-
Ayatullah al-Udhma Nouri Hamadani:
DuniaWote wanapaswa kufuata maamuzi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi/ Tunawashukuru sana wananchi kutokana na mikusanyiko ya usiku
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Nouri Hamedani, huku akitoa shukrani na pongezi kwa mshikamano wa kitaifa na ushiriki mkubwa wa wananchi katika mikusanyiko ya usiku, alisisitiza: Kila jambo ambalo Kiongozi…
-
Ayatullah al-Udhma Hussein Nouri Hamadani:
DuniaShahidi Raisi hakutambua usiku wala mchana katika kuwahudumia wananchi/ Kamwe hakusalimu amri mbele ya adui
Hawza/ Ayatullah Nouri Hamadani alisisitiza kuwa: Shahidi Raisi katika njia ya kuwahudumia wananchi hakutambua usiku wala mchana, na athari za imani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu zilikuwa dhahiri…
-
DuniaAyatulla Nouri Hamadani aonesha mshikamano wake kwa Hizbullah ya Lebanon/ Viongozi wa nchi za eneo waache kuwanyanyasa na kuwatesa Mashia
Mtukufu Ayatullah Nouri Hamadani, kwa kusisitiza umuhimu wa kuwaunga mkono wapiganaji wa muqawama hususan Hizbullah ya Lebanon, amewataka viongozi wa nchi za eneo waache kufuata ubeberu na Uzayuni,…
-
DuniaAyatollah al-‘Udhma Nouri Hamedani awashukuru wananchi wa Iran na vikosi vya ulinzi/ Msirudi nyuma hadi Marekani na utawala wa Kizayuni utakapo shindwa
Hawza/ Mimi, kama mwanafunzi wa Hawza ya Qom, natoa shukrani kutokama na uwepo wenu na uelewa wa hali ya juu, enyi wananchi wapenzi wa Iran, ninawaomba muendelee kudumisha uwepo huu hadi fitna…
-
Ayatullah Al-udhma Nouri Hamadani:
DuniaNi faradhi kwa Waislamu wote kulipa kisasi kutokana na damu ya shahidi Kiongozi wa Mapinduzi ya Iran
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Nouri Hamadani, katika ujumbe wake wa kuomboleza shahada ya Imam Khamenei, amekokoteza kuwa: Ni wajibu kwa Waislamu wote kulipa kisasi kwa wale wote waliofanya jinai…
-
Ayatullah Al-udhma Nouri Hamedani:
HawzaMadai ya haki yapitie njia sahihi/ Kiongozi wa Mapinduzi ametetea kwa uthabiti haki za wananchi
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Nouri Hamedani katika kikao chake na Hujjatul-Islam wal-Muslimin Haj Ali Akbari, walisisitiza kwamba Maimamu wa Swala za Ijumaa ni kiungo kati ya wananchi na mfumo wa…