Alhamisi 19 Juni 2025 - 00:08
Ukubwa wa Israeli ni Kama Nukta Ndani ya Ramani ya Iran

Hawza/ eneo la Iran ni kubwa mno kwa kulinganishwa na Israel; likiwa na ukubwa wa kilomita za mraba 1,648,195, ambalo ni mara 75 zaidi ya eneo la utawala wa Kizayuni wa Israel.

Shirika la Habari la Hawza, - Kwa mujibu wa sheria ya ndani ya utawala wa Israel, eneo la kijiografia la utawala huo limetangazwa kuwa ni 22,145 km², ambapo kati ya hizo, 21,671 km² ni ardhi kavu.

Kwa muktadha huu, eneo la Israel ni dogo sana kiasi kwamba linaweza kulinganishwa na nukta moja tu ndani ya ramani kubwa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha