Jumatano 14 Mei 2025 - 16:12
Trump Anakusudia Kufanya Biashara kwa Kutumia Utajiri na Damu ya Watu wa Ukanda huu/ Washington Inajaza Mifuko Yake kutokana na Pesa za Nchi za Kiarabu

Hawza/ Nchi za Kiarabu katika mwezi Machi zitakuwa wenyeji wa rais wa Marekani anayependa kamari na kufanya biashara, ambaye hana umuhimu wowote na damu, maisha, wala mali za watu wa eneo hili, huku viongozi wa nchi za Kiarabu wakitoa utajiri na rasilimali za watu wao kwa lengo la kupata uungwaji mkono na Marekani kwa ajili ya utawala wao na viti vyao vya kifalme.

Kwa mujibu wa ripoti ya kitengo cha tarjama cha Shirika la Habari la Hawza, Donald Trump, rais wa Marekani, leo tarehe 13 Mei 2025 ameanza safari yake katika Ghuba ya Uajemi, na anatarajiwa pia kuitembelea Qatar na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Safari hii imepangwa kwa ajili ya kuvutia mitaji mikubwa ya kifedha, na inaonesha sera ya kudumu ya Trump: "Toa pesa, upate kukingiwa kifua."

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha