Ikulu ya Marekani White House inatathmini pendekezo la kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran; na wakati huo huo inaongeza kiwango cha vikosi vya jeshi lake vamizi katika eneo la…
Ted Galen Carpenter, mchambuzi mashuhuri wa masuala ya kijeshi wa Marekani amemtahadharisha rais wa nchi hiyo Donald Trump na matokeo hatari ya kuanzisha vita dhidi ya Iran.