Shirika la habari la Hawza - Imamu Jawad (a.s) amesema:
«إعلَم أنَّكَ لَن تَخلُوَ مِن عَينِ اللّهِ فَانظُر كَيفَ تَكُونُ.»
"Tambua kwamba, hautasalimika katu na jicho la Allah, basi tazama jinsi unavyotenda. (chunga matendo yako)"
Tuhaf al-Uqul, uk 455
Maoni yako