Shirika la habari la Hawza - Mtume (s.a.w.w) amesema:
«اِتَّقوا دَعْوَةَ الْمَظْلومِ وَإنْ كانَ كافِرا فَإِنَّها لَيْسَ دونَها حِجابٌ.»
"Ogopa kilio na laana ya aliyedhulumiwa (madhulumu), hata akiwa kafiri, kwa sababu hakuna kizuizi dhidi ya laana ya aliyedhulumiwa."
Nahj al-Fasaha, hadithi ya 48
Maoni yako