Shirika la Habari la Hawzah - Imamu Sajjad (a.s) amesema:
«آيَاتُ اَلْقُرْآنِ خَزَائِنُ فَكُلَّمَا فُتِحَتْ خِزَانَةٌ يَنْبَغِي لَكَ أَنْ تَنْظُرَ مَا فِيهَا.»
"Aya za Qur'an ni dafina (hazina), na hazina inapofunguliwa, unapaswa kuona kilichomo ndani yake."
Al-Wafi, Jz 9, uk 1725
Maoni yako