Jumatano 9 Aprili 2025 - 09:49
Ondoa kinyongo kwa kutoa zawadi

Peaneni zawadi mpendane; kwani zawadi huondoa vinyongo (chuki).

Shirika la Habari la HawzaMtume (s.a.w.w) amesema:

«تَهَادَوْا تَحَابُّوا تَهَادَوْا فَإِنَّهَا تَذْهَبُ بِالضَّغَائِنِ.»

"Peaneni zawadi mpendane; kwani zawadi huondoa vinyongo (chuki)."

Al-Kafi, Jz 5, uk 144

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha