Shirika la Habari la Hawza - Imamu Ali (a.s) amesema:
«اِصْحَبِ اَلسُّلْطَانَ بِالْحَذَرِ وَ اَلصَّدِيقَ بِالتَّوَاضُعِ وَ اَلْبِشْرِ وَ اَلْعَدُوَّ بِمَا تَقُومُ بِهِ عَلَيْهِ حُجَّتُكَ.»
"Suhubiana na mtawala (mfalme) kwa hofu na tahadhari, na rafiki kwa unyenyekevu na bashasha, na adui kwa namna ambayo hoja yako kwake imetimia."
Ghurar al-Hikam, Jz 1, uk 148
Maoni yako