umoja wa waislamu (17)
-
DuniaMtafiti wa Kihindi: Umoja na mshikikano kwa Waislamu utawageuza kuwa nguvu isiyoshindwa
Hawza/ Sayyid Rashadat Ali al-Qadri katika mazungumzo yake alisisitiza kwamba umoja wa Umma wa Kiislamu una umuhimu wa juu na ni fursa yenye thamani kwa ajili ya kuimarisha mshikamano na udugu…
-
DuniaUmoja wa Kiislamu: Kinga ya Utambulisho na Heshima ya Uislamu Dhidi ya Wimbi la Mgawanyiko na Utegemezi wa Nje
Hawza / Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Kiislamu cha Ataba Husainiya, Iraq, akisisitiza umuhimu wa umoja katika zama hizi, alisema kuwa ni njia pekee ya kuhifadhi utambulisho wa umma wa Kiislamu…
-
DuniaUmoja wa Kiislamu ni Wajibu wa Kisheria na Silaha ya Muqawama, ni Rasilimali ya Uislamu Wote
Hawza/ Katibu Mkuu wa Harakati ya Ummah ya Lebanon, akisisitiza kuwa umoja wa Kiislamu si chaguo la hiari bali ni jukumu la kisheria, alisema: “Silaha ya muqawama huko Palestina, Lebanon na Yemen…
-
DuniaMatembezi ya kuadhimisha kuzaliwa Mtume (s.a.w.w) huko Jammu na Kashmir: yamebeba taswira ya mshikamano na umoja wa Waislamu
Hawza / Matembezi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume wa rehema (s.a.w.w) yamefanyika Jammu na Kashmir huku kukiwa na ushiriki mkubwa wa wafuasi wa madhehebu mbalimbali, ambapo yalibeba ujumbe…
-
DuniaSherehe za Wiki ya Umoja nchini Nigeria
Hawza / Sherehe na hotuba zenye maudhui ya kuadhimisha Wiki ya Umoja na kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad (swww) pamoja na Imam Ja‘far al-Sadiq (as) zinafanyika kote nchini Nigeria…
-
DuniaMtafiti kutoka nchini Tanzania: Umma wa Kiislamu ni umma wa rehema na umoja
Hawza/ Mtafiti kutoka nchi ya Tanzania, akisisitiza juu ya rehema ya umma wa Kiislamu, alisisitiza pia juu ya ulazima wa kuwasaidia wananchi wa Palestina.
-
Ayatullah Mudarris:
DuniaJukumu letu ni kujiandaa kukabiliana na maadui wa umma
Hawza/ Ayatullah Sayyid Muhammad Taqi Mudarrisī, mmoja wa wanazuoni wa Iraq, amesisitiza umuhimu wa kujiandaa kikamilifu kwa ajili ya kukabiliana na maadui wa umma, na kutoa tahadhari kuhusu…
-
Ujumbe wa Ayatollah al-Udhma Makarem Shirazi kuelekea Kongamano la 39 la Umoja wa Kiislamu:
DuniaWanazuoni wa Kiislamu wanapaswa kwa umakini wasiruhusu tofauti na migawanyiko baina ya Waislamu
Hawza/ Ayatollah al-Udhma Makarem Shirazi, katika ujumbe alioupeleka kwa wageni walio hudhuria Kongamano la Umoja wa Kiislamu, alisema: “Enyi wasomi, msitosheke kwa kuzungumzia umoja tu, bali…
-
DuniaMsomi Mashuhuri nchi India: Umoja ndio njia pekee ya kuondokana na changamoto katika ulimwengu wa Kiislamu
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sheikh Muhammad Hassan Jafari, katika ujumbe wake kwa Umma wa Kiislamu amesisitiza kwamba njia pekee ya kutoka kwenye changamoto na njama za kimataifa ni umoja,…
-
DuniaRais wa Baraza la Maimamu wa Kishia Pakistan: Mafundisho ya Mtume Mtukufu (s.a.w.w) ndiyo funguo ya umoja na suluhisho la Umma wa Kiislamu
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika hotuba zake, amesisitiza kwamba njia pekee ya kueoukana na machafuko na kuifikia jamii yenye umoja na yenye mafanikio ni kushikamana…
-
Ayatullah Saidi katika Swala ya Ijumaa Qom, nchi Iran:
DuniaUshirikiano wa wananchi umeangamiza njama za Marekani na utawala wa Kizayuni / “Umoja” ndii suluhisho katika kuueneza Uislamu duniani
Hawza/ Khatibu wa Ijumaa wa Qom alisema: “Utawala wa Kizayuni ulidhani kwamba, kwa kudhoofisha imani ya wananchi na kuchichea kukata tamaa ungeweza kutikisa misingi ya serikali, lakini mshikamano…
-
DuniaSentensi ambayo Ahlus-Sunna nchini India wameiandika kuhusiana na Ayatullah al-Udhma Khamenei
Hawza/ Ahlus-Sunna wa mji wa Lucknow nchini India katika siku ya 12 Rabiul-Awwal, kwa kuweka picha za Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, walionesha ujumbe unaolenga umoja wa Waislamu ulimwenguni.
-
DiniMtazamo wa Mar'aji‘ taql'id Kuhusiana na Sherehe ya mwezi Tisa Rabi‘u al-Awwal na Kutoheshimu wanavyo vitukuza Ahlus-Sunna
Hawzah/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Maraji‘ wakubwa wa taql'id, kupitia tamko na fatwa zao, wanazingatia kwamba; kutusi matakatifu ya madhehebu ya Kiislamu, ni kitendo haramu, chenye…
-
DuniaKatibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu: Umoja wa Waislamu na suala la Palestina ni miongoni mwa misingi madhubuti katika itikadi za madhehebu ya Kiislamu
Hawzah/ Hafidh Naeemur-Rahman, Amir wa Jamaat-e-Islami Pakistan, akiwa ameongozana na ujumbe wa ngazi ya juu kutoka chama hicho, alihudhuria katika Jumuiya ya Kiislamu ya Kimataifa ya Kukurubisha…
-
Rais wa Chuo Kikuu cha Lahore – Pakistan:
DuniaMtazamo wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, ndio mfumo bora zaidi wa kusongesha mbele umoja katika ulimwengu wa Kiislamu
Hawzah/ Zaidi alisema: Ayatullahul-Udhma Khamenei, mara kwa mara wamesisitiza kwamba kutukana vitakatifu vya madhehebu ya Kiislamu ni haramu, na mtazamo huu ndio mfumo bora zaidi wa kusongesha…
-
DuniaWanazuoni wa Kashmir: Umoja wa Mashia na Masunni ndio dhamana pekee ya kusalia Umma wa Kiislamu
Hawza/ Maimamu wa Ijumaa wa Kashmir, katika tamko lao, wametilia mkazo ulazima wa umoja baina ya Mashia na Ahl al-Sunna, na wamewataka watu wa Kashmir kwa kutunza mshikamano na umoja, waandae…
-
Makamu wa Rais wa Baraza la Ulama wa kishia Pakistan:
HawzaUmoja na mshikamano ndiyo njia ya uokovu kwa umma wa kiislamu
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Arif Hussein Wahidi, katika mkutano wa kitaifa wa umoja, alitaja umoja wa umma wa kiislamu kuwa ndio njia pekee ya kukabiliana na maadui, na akataka ujumbe wa Qur’ani…