Kwa mujibu wa ripoti ya Kitengo cha tarjama cha Shirika la Habari la Hawza, huku muda wa mazishi ya mwili mtukufu wa Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei ukizidi kukaribia, misafara ya makabila kutoka mikoa yote ya Iraq ililekea kwa wingi mjini Karbala. Makundi hayo ya makabila, baada ya kuwasili katika Haram Tukufu ya Imam Hussein (as) na Haram Tukufu ya Hadhrat Abal-Fadhl al-Abbas (as), yalijiandaa kuupokea mwili wa marehemu shahidi huyo.

Makabila ya Iraq Yajitokeza kwa Wingi Karbala Kuupokea Mwili Mtukufu wa Imam Khamenei

Makabila ya Iraq Yajitokeza kwa Wingi Karbala Kuupokea Mwili Mtukufu wa Imam Khamenei

Makabila ya Iraq Yajitokeza kwa Wingi Karbala Kuupokea Mwili Mtukufu wa Imam Khamenei
Maoni yako